Hapa ndipo tunatamatisha matangazo yetu mubashara. Njioni njema.
Maandamano ya kupinga wahamiaji Afrika Kusini yashuhudiwa, raia wawili wa Nigeria waripotiwa kufa
Maandamano ya “March and March Movement,” yanayopinga uhamiaji yamefanyika mjini Pretoria, mojawapo ya miji yenye wahamiaji wengi nchini Afrika Kusini.
Muhtasari
- Mfalme Charles III kuhutubia bunge la Congress nchini Marekani
- Ukraine ...
