Sarafi ya kurejea tena kwenye Mwezi ina umuhimu gani?
- Author, Rebecca Morelle
- Nafasi, Science editor
- Author, Alison Francis
- Nafasi, Senior science journalist
- Muda wa kusoma: Dakika 6
NASA kupitia mpango wake wa Artemis II imetuma wanaanga wanne kuelekea Mwezini.
Safari yao kuuzunguka Mwezi jirani yetu wa karibu angani itaandaa njia ya kutua Mwezini na hatimaye kujenga kituo cha kudumu hu...
